Sunday, April 3, 2016

UZA NA KUNUNUA BIDHAA KWA WATU WAAMINIFU.

Nachukua fursa hii kuwakaribisha katika blog yangu hii yenye lengo la kupunguza kilio cha watu wengi wanatapeliwa kwa kununua vitu venye mashaka.Nitakua natoa ushauri pamoja na kutuma vitu mbalimbali ambavyo havina shaka na vinatoka katika mikono salama.Karibuni sana katika blog yangu.              



Ewe mkazi wa Arusha epukana na matapeli na nunua na kuuza vitu kupitia blog hii.Pia ninatoa ushauri juu ya masuala mbalimbali ya kiteknolojia.Mfano matatizo ya simu,kutengeneza blog,kutengeneza computer.

5 comments: