Tuesday, April 19, 2016

SIMU FEKI KUFUNGIWA NA TCRA-USIKUBALI KUUZIWA SIMU FEKI

TCRA hivi karibuni itaanza zoezi zima la kufungia simu feki ambazo zimezagaa mitaani.Inakadiriwa kuwa katika kila watu kumi wenye simu watu wanne wanamiliki simu feki.
Simu feki zinamadhara makubwa katika jamii,miongoni mwamadhara hayo nipamoja na:-
1.Matukio ya uhalifu kama wizi na makosa ya kimtandao,
2.Ubora usio na thamani ya fedha,
3.Matatizo ya kiafya yanayotokana na simu feki,
4.Udhibiti wa mapato ya serikali.

Namna ya kufahmu kama simu yako ni feki au ni original unapiga *#06# kisha unatuma IMEI number kwenye namba 15090 ambapo utapata ujumbe kuwa simu yako ni feki au la.
Ukihitaji simu Original wasiliana na mimi nami nitakuagizia wauzaji wa simu original used na mpya.Ushauri huu ni bure bila malipo yeyote.

No comments:

Post a Comment